Rhino King Kutoka Kwenye Label Ya KWETU STUDIO Akiwa Mmoja Kati Ya Wasanii Wanaounda Kundi La THE MAFIK na Bi Aisha Akiwa Chini Ya Label Ya LAST BORN Leo Wanatuletea Hii Video Mpya Inayoitwa ''SHOW ME LOVE''. Video Imeandaliwa Na KWETU STUDIO Na Audio Imetayarishwa Na Mtayarishaji Wa Mziki FRAGA.
Kuitazama Video Hii Tafadhali Bonyeza Hii Video Hapa Chini.....
TAZAMA VIDEO
No comments:
Post a Comment