Ni siku tano tu tangu msanii wa kundi la Wasafi alipoachia kibao chake kilichokwenda kwa jina la ''CHUCHUMAA''. Leo Lebo ya WCB Wasafi wakishirikiana na RayVanny wamedondosha ngoma nyingine tena, safari hii RayVanny kutoka Wasafi amemshirikisha nyota kutoka Nigeria Queen Mayorkun kwenye kibao hiki walichokipa jina la ''Gimi Dat''
PAKUAA HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment