KIJIWE KIPYA: Mwanza African Flavours Biriani By Sister Janeth.


Kijiwe Kipya Hiki Hapa...... Maelezo Yamejitoshereza Kabisa. Kwa kifupi hiki ni kijiwe kipya kwa wakazi wa Jiji La Mwanza Wilaya Ya Nyamagana Kata Ya Luchelele Maeneo ya Chuo Cha Mtakatifu Agustino (SAUT). Piga Simu Namba 075-8780-713 au 071-0455514 Ujipatie vitu vitamu, Biriani ya Samaki, Biriani Ya Mbuzi, Biriani Ya Ng'ombe na Wale wote wapenzi wa Biriani Ya Kuku.Mwili Haujengwi Kwa Matofali... Kula Vizuri Uishi Miaka Mingi.

KARIBUNI SANA WATEJA!!!!!!!!!!!!!

Share:

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Powered by Blogger.

Search This Blog

AUDIO

About Me

My photo
Nyamagana City, Mwanza, Tanzania

Labels

Blog Archive

Recent Posts