HAPPY BIRTHDAY: MTU WA NGUVU GEORGE SHABAN


Miaka Kadhaa Tarehe Kama Ya Leo 26 - 10 .......... Mtu Wa Nguvu, Mtu Wa Watu GEORGE SHABAN Alizaliwa. Chasu Media Ipo Hapa Kukutakia Kheri Ya Mfanano Wa Siku Ya Kuzaliwa, Uishi Miaka Mingi, Mafanikio Kama Yote Kwako. Na Kubwa Zaidi Mwenyezi Mungu Azidi Kukupambania Katika Harakati Zako Za Kila Siku. 


Live Long Life Brother George Shaban


Share:

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Powered by Blogger.

Search This Blog

AUDIO

About Me

My photo
Nyamagana City, Mwanza, Tanzania

Labels

Blog Archive

Recent Posts