HABARI: Penzi la YG na Kehlani lazidi kupamba moto, waonesha hadharani (+video)

Baada ya kuwepo kwa taarifa zilizokuwa zikiendelea mtandaoni juu ya uwepo wa penzi kati ya rapa YG na mrembo Kehlan hatimaye wawili hao wameamua kujionesha hadharani kuwa swala hilo siyo siri tena na wapo pamoja.
Rapa YG na Kehlan wameonekana pamoja wakati walipohudhuria uzinduzi wa ligi ya NFL Kickoff uliofanyika Grand Park nchini Marekani na ndipo kamera za mtandao wa TMZ zilipowanasa wawili hao.


Share:

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Powered by Blogger.

Search This Blog

AUDIO

About Me

My photo
Nyamagana City, Mwanza, Tanzania

Labels

Blog Archive

Recent Posts